UONGOZI WA SHULE YA MSINGI YA CENTRAL MJINI MALINDI YALALAMIKIA UHABA WA WALIMU
Mwakilishi wa kamati ya uongozi wa shule ya msingi ya Central mjini Malindi kaunti ya Kilifi, Jokoleah Mugoi Mwamburi amesema shule hiyo ambayo iliafikia vigezo hitajika vya wizara ya elimu nchini kwa ajili ya masomo ya Sekondari Msingi, Junior Secondary inakabiliwa na changamoto za ukosefu wa madarasa, madawati na walimu wa kutosha. Akizungumza na lulu […]
UONGOZI WA SHULE YA MSINGI YA CENTRAL MJINI MALINDI YALALAMIKIA UHABA WA WALIMU Read More »



