Janet Mumbi

GAVANA ACHANI AWATAKA WENYEJI KUTOKUBALI KUGAWANYWA

Gavana wa Kwale Fatuma Achani amewahimiza wakazi wa Kaunti hiyo kutokubali kugawanywa Kwa misingi ya kikabila na dini. Akizungumza katika Wadi ya Vanga huko lunga lunga alipoongoza ufunguzi wa shule ya chekechea ya Umba, Achani amesema wakati wa siasa ulipita, hivyo ni wakati sasa wa wakaazi kuungana sawia na viongozi wao ili kuhakikisha miradi ya […]

GAVANA ACHANI AWATAKA WENYEJI KUTOKUBALI KUGAWANYWA Read More »

GOR MAHIA HAIKO FREEMASON RACHIER ANAJISEMEA MWENYEWE – SAM OCHOLA

Kamati kuu ya klabu ya Gor Mahia imetoa taarifa kwamba klabu hiyo haijihusishi na masuala ya Freemason kuanzia wachezaji na vitengo vyote vya Kogalo. Hii ni kulingana na katibu mkuu wa klabu hiyo Sam Ocholla ambaye amehoji kuwa suala la mwenye kiti Ambrose Rachier kusema kwamba yeye ni mmoja wa wa mafreemason ni jambo lake

GOR MAHIA HAIKO FREEMASON RACHIER ANAJISEMEA MWENYEWE – SAM OCHOLA Read More »