PAUL BITOK AMEMPONGEZA SHARON KWA KUSAINI DILI LA KIMATAIFA
Mkufunzi mkuu wa kikosi cha kinadada wa malkia strikers Paul Bitok amempongeza Sharon Chepchumba mchezaji wa volibali kwa kusaini dili kubwa na klabu ya Aris Thesaloniki ya Ugiriki kwa mkataba wa uhamisho wa kudumu. Chepchumba ambaye alianza kucheza kama kipa wa soka kabla ya kuhamia kwenye mchezo wa mpira wa wavu sasa amesaini mkataba wa […]
PAUL BITOK AMEMPONGEZA SHARON KWA KUSAINI DILI LA KIMATAIFA Read More »



