Janet Mumbi

KENAFF YAITAKA SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI KUJENGA BWAWA LA KUHIFADHI MAJI

Shirikisho la kitaifa la wakulima nchini (KENAFF) limeitaka serikali ya kaunti ya Kilifi kujenga bwawa la kuhifadhi maji ya mto sabaki, ili yaweze kutumika katika kilimo. Mwenyekiti wa shirikisho hilo kaunti ya Kilifi Getrude Bahati, anadai maji ya mto huo ni raslimali muhimu inayoweza kutumika kufanikisha kilimo wakati wa ukame iwapo yatahifadhiwa. Bahati aidha amedokeza […]

KENAFF YAITAKA SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI KUJENGA BWAWA LA KUHIFADHI MAJI Read More »

WABUNGE KAUNTI YA TAITA TAVETA WAWEKA MIKAKATI YA KUWASILISHA MISUADA KATIKA BUNGE LA KITAIFA.

Wabunge wa Kaunti ya Taita taveta sasa wanajiandaa kuwasilisha miswaada bungeni itakayosaidia wakazi wa kaunti hiyo kunufaika kutokana na raslimali ya mbuga ya kitaifa ya wanyamapori ya Tsavo kufuatia utata unaoshuhudiwa kwa sasa. Wakiongozwa na mbunge wa Taveta John bwire, Wanasema wakaazi wameathiriwa pakubwa na wanyamapori wala hakuna fidia wanayopewa na shirika la huduma kwa

WABUNGE KAUNTI YA TAITA TAVETA WAWEKA MIKAKATI YA KUWASILISHA MISUADA KATIKA BUNGE LA KITAIFA. Read More »