Tonny Ngala

UTUMIZI WA DAWA ZA KULEVYA KUPITIA SINDANO WAWAWEKA VIJANA KATIKA HATARI YA KUPATA UKIMWI.

Asilimia 18.7 ya vijana wanaotumia dawa za kulevya kwa kujidunga sindano, wametajwa kuwa katika hatari kubwa ya kuambukizwa virusi vya Ukimwi kaunti ya Kwale. Haya ni kwa mujibu wa mkurugenzi wa shirika la kijamii la kukabiliana na utumizi wa mihadarati kaunti ya KWALE, la Teenswatch Ahmed Mohammed anayetaka hamasa zaidi kutolewa kwa vijana ili kuzuia […]

UTUMIZI WA DAWA ZA KULEVYA KUPITIA SINDANO WAWAWEKA VIJANA KATIKA HATARI YA KUPATA UKIMWI. Read More »

WAZAZI KAUNTI YA LAMU WADAIWA KUTELEKEZA JUKUMU LAO LA ULEZI.

Afisa wa kurekebisha tabia za watoto kwenye mahakama ya Mpeketoni kaunti ya Lamu Dhashrifa Mohammed, amesema wazazi wengi wametelekeza majukumu yao ya ulezi. Hii ni baada ya kukithiri kwa visa vya utovu wa nidhamu miongoni mwa watoto wenye umri mdogo, hali inayotajwa kusababishwa na malezi duni kutoka kwa wazazi wa watoto hao. Dhashrifa amewataka wazazi

WAZAZI KAUNTI YA LAMU WADAIWA KUTELEKEZA JUKUMU LAO LA ULEZI. Read More »

UTUMIZI WA MIHADARATI AINA YA HEROIN KAUNTI YA MOMBASA WADAIWA KUKITHIRI.

Zaidi ya watu elfu nane wakiwemo watoto wenye umri wa miaka 10 kaunti ya Mombasa, wanadaiwa kuwa watumizi wa dawa ya kulevya aina ya Heroin. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Shirika la kukabiliana na dawa za kulevya na pombe haramu nchini NACADA, ambalo limesema kuwa kaunti ya Mombasa ni mojawapo ya kaunti ambazo, zinaongoza

UTUMIZI WA MIHADARATI AINA YA HEROIN KAUNTI YA MOMBASA WADAIWA KUKITHIRI. Read More »