SERIKALI YA KAUNTI YA MOMBASA YA WEKA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA MARADHI YA EBOLA.
Idara ya afya kaunti ya Mombasa imewahakikishia wananchi wa kaunti hiyo kuwepo kwa mikakati, ya kukabiliana na maambukizi wa maradhi ya Ebola ambayo yameanza kuripotiwa, katika baadhi ya mataifa ya Afrika Mashariki. Kulingana na afisa mkuu wa afya kaunti ya Mombasa Pauline Oginga, ni kuwa idara hiyo kwa ushirikiano na mashirika mengine ya kijamii katika […]
SERIKALI YA KAUNTI YA MOMBASA YA WEKA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA MARADHI YA EBOLA. Read More »



