RAIS WILLIAM RUTO AFUNGUA RASMI VIKAO VYA BUNGE.
Hotuba ya kwanza ya Rais William Ruto katika bunge la 13 haikukosa vijembe vya kisiasa huku rais akisifia ukomavu wa siasa za Kenya na demokrasia. Rais Ruto akionekana kumlenga rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kwa kusimama na kiongozi wa upinzani wakati huo, licha ya kuwa serikalini. Rais Ruto sasa amesema kuwa serikali inatafuta mbinu za kuwasaidia […]
RAIS WILLIAM RUTO AFUNGUA RASMI VIKAO VYA BUNGE. Read More »


