Elvis Baya

WANANCHI WALIOATHIRIKA NA UKAME KAUNTI YA KWALE WAPOKEA MSAADA WA CHAKULA KUTOKA KWA SERIKALI.

Kaunti ya kwale ni miongoni mwa kaunti 23 nchini zitakazopokea chakula cha msaada kutoka kwa serikali ya kitaifa kwani kaunti ndogo za Lungalunga na Kinango kaunti hiyo zimetajwa kuathirika pakubwa na baa la njaa. Haya ni Kwa mujibu wa gavana wa kaunti ya kwale Fatuma Achani alipozindiua mradi wa maji wa Nyalani-Mwangoni-Bang’a katika eneo la

WANANCHI WALIOATHIRIKA NA UKAME KAUNTI YA KWALE WAPOKEA MSAADA WA CHAKULA KUTOKA KWA SERIKALI. Read More »

GAVANA WA KAUNTI YA TAITA TAVETA ANDREW MWADIME AAHIDI KUIMARISHA MIUNDO MSINGI KAUNTI HIYO.

Gavana wa Kaunti ya Taita taveta Andrew Mwadime amewahakikishia wakaazi kuwa serikali yake, itafanya kila jitihada kuboresha kaunti hiyo na kuifanya Kuwa miongoni mwa kaunti bora ZAIDI nchini. Akihutubia bunge la kaunti hiyo kwa mara ya kwanza, tangu achukue hatamu ya uongozi Mwadime amelitaka bunge hilo, kushirikiana vilivyo na serikali yake ili kutoa suluhu kwa

GAVANA WA KAUNTI YA TAITA TAVETA ANDREW MWADIME AAHIDI KUIMARISHA MIUNDO MSINGI KAUNTI HIYO. Read More »