Tonny Ngala

UTALII PWANI WADAIWA KUCHANGIA ONGEZEKO LA VISA VYA DHULMA ZA KIJINSIA.

Washikadau mbali mbali katika mashirika ya kijamii kaunti ya Kilifi pamoja na wanasheria, wamekongamana katika kaunti ya Kilifi ili kujadili kuhusiana na mikakati ya kukabiliana na ongezeko la visa vya dhulma za kingono eneo la Pwani. Kulingana na wadau hao ni kuwa kaunti ya Kilifi, Kwale na Mombasa ni mojawapo ya kaunti za Pwani ambazo […]

UTALII PWANI WADAIWA KUCHANGIA ONGEZEKO LA VISA VYA DHULMA ZA KIJINSIA. Read More »

MUUNGANO WA KITAIFA WA WALEMAVU WADAI KUTENGWA NA SERIKALI YA RUTO.

Muungano wa kitaifa wa watu wanaoishi na ulemavu umeikosoa serikali ya rais William Ruto kwa kile walichosema kuwa haikujumuisha watu wenye uwezo maalum katika baraza la mawaziri. Muungano huo umesema ni wazi kuwa rais Ruto amewabagua katika baraza hilo la mawaziri huku sasa wakimtaka rais Ruto kuwazingatia katika nyadhfa zilizosalia za makatibu wakuu na makatibu

MUUNGANO WA KITAIFA WA WALEMAVU WADAI KUTENGWA NA SERIKALI YA RUTO. Read More »

MZOZO WA UONGOZI WASHUHUDIWA NDANI YA MUUNGANO WA AZIMIO LA UMOJA ONE KENYA.

Vyama tanzu vya muungano wa Azimio la Umoja One Kenya vinazozania nafasi finyu za uongozi bungeni huku kila mmoja akitaka kusitiriwa kwenye uongozi. Mzozo wa hivi punde ni kuhusiana na utunzi wa tume inayoshughulikia maslahi ya wabunge na wafanyikazi wa bungeni ambapo mbunge wa Sirisia John Walukhe na mbunge wa Eldas Adan Keynan wanachuana kuwania

MZOZO WA UONGOZI WASHUHUDIWA NDANI YA MUUNGANO WA AZIMIO LA UMOJA ONE KENYA. Read More »