Biashara

CHUO KIKUU CHA PWANI KINAKABILIWA NA MADAI YA ULAGHAI

Tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi nchini EACC imeanzisha uchunguzi kuhusu madai ya kuwepo na ulaghai katika mchakato wa ununuzi katika chuo kikuu cha Pwani kaunti ya Kilifi. Kulingana na barua ambayo ilitumwa kwa naibu Chansela wa chuo hicho na afisa mkuu wa upelelezi Tabu Lwanga chuo hicho kinakabiliwa na madai ya kupendelea kampuni …

CHUO KIKUU CHA PWANI KINAKABILIWA NA MADAI YA ULAGHAI Read More »

AFUENI KWA WAFANYABIASHARA YA MIFUGO KAUNTI YA LAMU.

Gavana wa kaunti ya Lamu Issa Abdallah Timmamy amesema kuwa wafugaji katika kaunti hiyo na kaunti jirani, watanufaika hata zaidi kwani taifa la Oman linanuia kununua mifugo na kuwasafirisha hadi nchini humo, kupitia bandari ya Lamu. Timammy amesema hatua hiyo itanufaisha kaunti ya Lamu kiuchumi kupitia mapato ya bandari hiyo ya Lappset, mbali na kuwa …

AFUENI KWA WAFANYABIASHARA YA MIFUGO KAUNTI YA LAMU. Read More »