WANYAMA ANALENGA KUACHANA NA MONTREAL MWISHONI MWA MSIMU HUU
Nyota wa zamani wa timu ya taifa Harambe Stars lakini pia klabu ya Totenham Hotspurs mwite Victor Mugubi Wanyama sasa analenga kuachana na klabu yake ya sasa Montreal Mwishoni mwa msimu huu. Wanyama ambaye mkataba wake na Montreal unatamatika mwishoni mwa msimu huu amesema haoni akirefusha mkataba na klabu hiyo huku tetesi zikisema kwamba huenda […]
WANYAMA ANALENGA KUACHANA NA MONTREAL MWISHONI MWA MSIMU HUU Read More »



