Paps Mkare

WANARIADHA SABA PAMOJA NA OMANYALA WAPEWA UFADHILI

Bingwa wa mbio za Mita 100 Afrika Ferdinand Omanyala ameteuliwa kati ya wanufaikaji wa udhamini wa kamati ya olimpiki ya barani Afrika. Ufadhili huo ulizawadiwa wanriadha saba unalenga kuwasaidia wanariadha hao kuimarika wanpijitayarisha kwa mashindano ya Olimpiki ya 2024 yanyotarjiwa kufanyika jijini Paris Ufaransa. Omanyala ambaye pia mwaka huu alijishindia medali ya dhahabu katika mashindano […]

WANARIADHA SABA PAMOJA NA OMANYALA WAPEWA UFADHILI Read More »

STRAIKA WA TRANS NZOIA FALCON VIOLET NANJALA AIBUKIA MOROCCO

Violet Nanjala malkia wa soka aliyekuwa anakipiga kunako klabu ya Trans Nzoia Falcon inayochezea ligi Kuu ya wanawake nchini Kenya amesaidi dili la uhamisho wa Kudumu kuelekea klabu yake mpya ya AMFF Laayoune inayochezea ligi ya daraja la kwanza katika taifa la Morocco. Violet Nanjala Straika tegemezi kwenye kikosi kinachoongozwa na Justin Oriking anaondoka klabuni

STRAIKA WA TRANS NZOIA FALCON VIOLET NANJALA AIBUKIA MOROCCO Read More »

KDF WAMPANDISHA JEPKOSGEI CHEO KUTOKANA NA MATOKEO MAZURI KWENYE LONDON MARATHON

Uongozi wa vikosi vya usalama nchini Kenya maarufu kama KDF umempandisha cheo koplo Joyciline Jepkosgei hadi cheo cha usajenti kutokana na ufanisi wake katika mashindano ya London Marathon ambako alimaliza katika nafasi ya pili. Sherehe hiyo imefanyika katika makao makuu ya KDF ikiongozwa na mkuu wa majeshi Robert Kibochi lakini pia kiongozi wa masuala ya

KDF WAMPANDISHA JEPKOSGEI CHEO KUTOKANA NA MATOKEO MAZURI KWENYE LONDON MARATHON Read More »