Janet Mumbi

SERIKALI KUU YATAKIWA KUHARAKISHA UTOAJI WA MSAADA KWA WENYEJI WA TANA RIVER

Baadhi ya wawakilishi wa wadi kaunti ya Tana River wametoa wito kwa serikali ya kaunti hiyo na ile ya kitaifa kuharakisha utoaji wa msaada kwa wenyeji ambao wanaendelea kuathirika kutokana na hali ya ukame na baa la njaa. Wawakilishi wa wadi hao Ismael Kodobo wa Hirimani, Mahmoud Ali wa wadi ya Sala na Maka Maimuna […]

SERIKALI KUU YATAKIWA KUHARAKISHA UTOAJI WA MSAADA KWA WENYEJI WA TANA RIVER Read More »

LIVERPOOL YAITANDIKA RANGERS KATIKA DIMBA LA ANFIELD KUNAKO UEFA

Klabu ya Liverpool inayoongozwa na mkufunzi Jergen Klopp imefanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya klabu ya Rangers kutoka Scotland katika mtanange wa klabu bingwa Ulaya mchezo uliopigwa katika dimba la Anfield. Kikosi hicho kimekuwa na wakati mgumu msimu huu kupata matokeo hasa kwenye Ligi Kuu nchini Uingereza lakini waliweza kuibana Rangers na

LIVERPOOL YAITANDIKA RANGERS KATIKA DIMBA LA ANFIELD KUNAKO UEFA Read More »