IDADI KUBWA YA VIJANA KAUNTI YA LAMU WAMEATHIRIKA NA UTUMIZI WA DAWA ZA KULEVYA
Gavana wa kaunti ya Lamu Issa Abdalla Timammy ameapa kukabiliana na ulanguzi wa dawa za kulevya kwenye kaunti hiyo. Timamy amesema idadi kubwa ya vijana katika kaunti hiyo ni waraibu wa dawa za kulevya hali ambayo amesema iwapo hatua thabiti hazitachukuliwa huenda wengi wao wakashindwa kujinasua kwenye utumizi huo. Amesema wasichana wenye umri mdogo pia […]
IDADI KUBWA YA VIJANA KAUNTI YA LAMU WAMEATHIRIKA NA UTUMIZI WA DAWA ZA KULEVYA Read More »



