Janet Mumbi

TEDDY MWAMBIRE ASEMA WATABORESHA SEKTA YA ELIMU KAUNTI YA KILIFI

Spika wa bunge la kaunti ya Kilifi Teddy Mwambire amewahimiza wawakilishi wa wadi katika kaunti ya Kilifi kutilia mkazo sekta ya afya ili wenyeji waweze kupata matibabu bora. Kulingana na Mwambire iwapo kutakuwa na uadilifu katika sekta hiyo wenyeji wa kaunti ya Kilifi hawatahangaika katika kusaka matibabu hospitalini. Vilevile, amesema ni jukumu la wawakilishi hao […]

TEDDY MWAMBIRE ASEMA WATABORESHA SEKTA YA ELIMU KAUNTI YA KILIFI Read More »

SERIKALI YA KAUNTI KILIFI YATAKIWA KUTENGA SEHEMU YA KUEGESHA MAGARI

Idara ya usalama eneo la Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi initaka serikali ya kaunti ya kilifi kutenga sehemu ya kuegesha magari, ili kupunguza msongamano uliopo katikati mwa mji wa Kilifi. Kulingana na kamanda wa Polisi eneo hilo Jonathan Koech, sehemu ambayo inatumika kwa sasa ni kituo cha kuabiri magari cha Kilifi, sehemu ambayo anadai kuwa

SERIKALI YA KAUNTI KILIFI YATAKIWA KUTENGA SEHEMU YA KUEGESHA MAGARI Read More »

KENYA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA AFYA YA AKILI DUNIANI

Taifa la Kenya linaungana na mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha siku ya kimataifa ya afya ya akili duniani. Ni siku ambayo inaadhimishwa ili kuhamasisha wananchi kuhusiana na umuhimu wa afya ya akili, Utetezi dhidi ya unyanyapaa wa jamii pamoja na kuwawezesha wanaopitia changamoto ya afya ya akili. Mwaka wa 1992 shirika la afya duniani WHO liliadhimisha

KENYA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA AFYA YA AKILI DUNIANI Read More »