HABARI

GOR MAHIA KUINGIA SOKONI

Mabingwa mara ishirini na moja wa Ligi Huku hapa Nchini Gormahia, wapo kwenye Harakati za mwisho za kumsajili mshambuliaji wa Uganda Charles Bbaale Dirisha la uhamisho litakapofunguliwa siku ya Ijumaa, wakipania kuimarisha kikosi chao Bbaale akitamatisha mkataba wake wa misimu miwili na vigogo wa Rwanda Rayon Sports. Mshambuliaji Huyo alijiunga na Rayon Sports mwaka Juzi

GOR MAHIA KUINGIA SOKONI Read More »

HALI NGUMU ZA KIUCHUMI ZA SABABISHA WANANCHI ENEO LA MALINDI KAUNTI YA KILIFI KUTOSAJIIWA KUPATA VITAMBULISHO VYA KITAIFA

Idadi kubwa ya wakaazi wa eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi wameendelea kukabiliwa na changamoto kuu, katika kupata vitambulisho kutokana na hatua ya wao, kutakiwa kulipia stakabadhi hizo muhimu. Akithibitisha hilo afisa anayehusika na sahihi za vidole katika afisi hiyo Ruth Hasango, ametaja suala la wananchi wengi kususia shughuli za kupata huduma hizo, kusababishwa

HALI NGUMU ZA KIUCHUMI ZA SABABISHA WANANCHI ENEO LA MALINDI KAUNTI YA KILIFI KUTOSAJIIWA KUPATA VITAMBULISHO VYA KITAIFA Read More »