HABARI

NAIBU WA RAIS PROFESA KITHURE KINDIKI AMSUTA MTANGULIZI WAKE RIGATHI GACHAGWA.

Jukumu kuu la rais William Ruto sio kuongoza taifa la Kenya kwa mihula miwili. Ni kauli ya naibu wa Rais Profesa Kithure Kindiki, ambaye amemsuta aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagwa, kutokana na kauli yake ya kuungana na viongozi wanaopinga uongozi wa Serikali ya Kenya kwanza, ili kuhakikisha kuwa Ruto hachukui hatamu ya uongozi kwa […]

NAIBU WA RAIS PROFESA KITHURE KINDIKI AMSUTA MTANGULIZI WAKE RIGATHI GACHAGWA. Read More »

RAIS MSTAAFU UHURU KENYATTA AYATAKA MATAIFA YA AFRIKA KUBUNI MBINU ZA KUJIWEZESHA KIUCHUMI.

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, amewaonya viongozi wa bara Afrika dhidi ya kulalamimikia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump kubadili sheria nchini humo, ambazo zitakuwa na athari kwa mataifa ya bara Afrika. Kwa mujibu wa Uhuru, licha ya mataifa ya Afrika kuwa na rasilimali nyingi zilizo na uwezo wa kufadhili mataifa hayo kiuchumi, masuala ya

RAIS MSTAAFU UHURU KENYATTA AYATAKA MATAIFA YA AFRIKA KUBUNI MBINU ZA KUJIWEZESHA KIUCHUMI. Read More »