WAKENYA WASIFIWA KUWA WAFANYAKAZI BORA KATIKA MATAIFA YA ULIMWENGU.
Rais William Ruto amesema kuwa kuna haja ya taifa la Kenya kuwekeza zaidi katika elimu ya taaluma ambazo, huhitajika katika ajira za mataifa ya ulimwengu. Kulingana na Rais, Kenya ina idadi kubwa ya watu walio na uwezo wa kufanya kazi mbali mbali ulimwengini na kwa mda sasa taifa hili, limekuwa likisifiwa kwa kuwa na wafanyakazi […]
WAKENYA WASIFIWA KUWA WAFANYAKAZI BORA KATIKA MATAIFA YA ULIMWENGU. Read More »



