HABARI

VYUO VIKUU NCHINI VYATAKIWA KUSHIRIKIANA NA MATAIFA YA KIGENI ILI KUBORESHA SHUGHULI ZA MASOMO.

Katibu wa Elimu ya Juu na Utafiti kwenye wizara ya elimu nchini Dkt. Beatrice Inyangala, amekipongeza Chuo Kikuu cha Taita Taveta, kwa ubora wake wa kitaaluma na ushirikiano na mataifa ya kigeni. Kulingana na katibu huyo, kuna haja ya vyuo vikuu nchini kutambua changamoto zake na kushirikisha wizara hiyo, katika kutafuta wafadhili wa kuwasaidia kukabiliana […]

VYUO VIKUU NCHINI VYATAKIWA KUSHIRIKIANA NA MATAIFA YA KIGENI ILI KUBORESHA SHUGHULI ZA MASOMO. Read More »

IEBC YASEMA IMEKAMILISHA MAANDALIZI YA SHUGHULI ZA CHAGUZI NDOGO NCHINI.

Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC, imeelezea utayari wake katika kufanikisha shughuli za uchaguzi mdogo, wa nafasi mbali mbali za uongozi katika taifa hili. Kwa mujibu wa afisa mkuu wa tume hiyo Marjan Hussein Marajan, wamelazimika kuharakisha mikakati hiyo, ili kuwapatia makamishna wapya watakao chaguliwa wakati rahisi wa kutekeleza zoezi hilo. Katika taarifa

IEBC YASEMA IMEKAMILISHA MAANDALIZI YA SHUGHULI ZA CHAGUZI NDOGO NCHINI. Read More »