HABARI

MAN U YASELELEA UROPA

Manchester United imefuzu kwenye Hatua ya raundi ya kumi na sita Bora Katika kombe La bara Europa, baada ya kuicharaza FCSB waliokua nyumbani magoli mawili sufuri, kinda Kobbie Mainoo akiuona wavu na kupeana asisti ya mabao hayo kwenye kipindi cha pili. Vigogo wa Uturuki Galatasaray walimaliza Fomu yao ya kwenda Mechi saba Bila kufungwa, walipoangukia […]

MAN U YASELELEA UROPA Read More »

WAZIRI MUTURI AMTAKA RAIS WILLIAM RUTO KUTOA AMRI YA KUSITISHWA KWA VISA VYA UTEKAJI NYARA.

Waziri wa utumishi wa umma Justine Bedan Njoka Muturi, ameendeleza shutuma zake dhidi ya serikali anayotumikia, kwa madai ya kutozungumzia masuala ya utekaji nyara wa vijana katika taifa hili. Kulingana waziri Muturi, serikali ya Kenya Kwanza iliahidi wakenya kusitisha visa vya mauaji ya kiholela na utekaji nyara, wakati wa kampeni za kuwania uchaguzi mkuu wa

WAZIRI MUTURI AMTAKA RAIS WILLIAM RUTO KUTOA AMRI YA KUSITISHWA KWA VISA VYA UTEKAJI NYARA. Read More »