HABARI

WANASIASA KAUNTI YA LAMU WAANZISHA MIKAKATI YA KUWANIA NYADHIFA ZA KISIASA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2027.

Viongozi wa jamii asili za kaunti ya Lamu wametoa wito kwa walio na kura kushirikiana na kujitokeza kwa wingi, kwenye uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2027, ili kuchagua viongozi watakao wawakilisha kwenye bunge la kitaifa. Viongozi hao wa jamii za Wabajuni, Waboni na Wamijikenda, wamesema ushirikiano wao ndio utahakikisha masuala yanayowazonga yanatatuliwa. Wakiongozwa na spika wa bunge la kaunti ya Lamu, Azhar […]

WANASIASA KAUNTI YA LAMU WAANZISHA MIKAKATI YA KUWANIA NYADHIFA ZA KISIASA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2027. Read More »

IDARA YA USALAMA YAHAKIKISHIA WANANCHI WA MALINDI KAUNTI YA KILIFI USALAMA WAO.

Idara ya usalama mjini Malindi kaunti ya Kilifi, imewahakikishia wananchi wa eneo hili usalama wao, kutokana na hatua ya maafisa wa polisi kuendeleza shughuli za kushika doria, katika maeneo mbali mbali ya mji huu wa Kitalii. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, afisa mkuu wa polisi katika kitengo cha AP, Samuel Kariuki, ameelezea kuwepo

IDARA YA USALAMA YAHAKIKISHIA WANANCHI WA MALINDI KAUNTI YA KILIFI USALAMA WAO. Read More »

SERIKALI YA KENYA KWANZA YAKOSOLEWA KWA KUKOSA UFAHAMU WA WAHUSIKA WA VISA VYA UTEKAJI NYARA.

Mchanganuzi wa masuala ya kisiasa nchini Barrack Muluka, amekashifu vikali hatua ya serikali kudai kutokuwa na ufahamu kuhusiana na anayetekeleza visa vya utekaji nyara katika taifa hili. Kulingana na Barrack, serikali ya Kenya Kwanza imeshindwa kutekeleza wajibu wake kwa wananchi wa taifa hili na hivyo inapaswa kujiuzulu. Akizungumza hapa kaunti ya Kilifi, Barrack amesema kuwa

SERIKALI YA KENYA KWANZA YAKOSOLEWA KWA KUKOSA UFAHAMU WA WAHUSIKA WA VISA VYA UTEKAJI NYARA. Read More »