HABARI

JAMII KAUNTI YA MOMBASA YATAKIWA KUSHIRIKIANA KATIKA VITA DHIDI YA UTUMIZI WA MIHADARATI.

Gavana wa kaunti ya Mombasa, Abdulswamad Sharif Nassir ametoa wito kwa viongozi kwenye jamii kaunti hiyo, kushirikiana ili kukuza talanta za vijana. Nassir amesema katika kufanya hivyo, watasaidia pakubwa vijana wengi ambao hupotoka kimaadili kwenye jamii na kujihusisha na utumizi wa mihadarati. GAVANA huyo aidha amewashauri vijana, kutohusisha talanta na utumizi wa mihadarati kwani itaathiri […]

JAMII KAUNTI YA MOMBASA YATAKIWA KUSHIRIKIANA KATIKA VITA DHIDI YA UTUMIZI WA MIHADARATI. Read More »

VIJANA ENEO LA RABAI KAUNTI YA KILIFI WASISITIZWA KUSOMEA TAALUMA ZA UBAHARIA.

Mbunge wa Rabai kaunti ya Kilifi, Kenga Mupe amewataka vijana katika eneo lake kukumbatia taaluma za mafunzo ya ubaharia, ili kunufaika na nafasi za ajira kwenye meli kimataifa. Kiongozi huyo ameahidi kuunga mkono vijana hao, kwa kuwasaidia katika kutafuta nafasi hizo za ajira, ili waweze kujiendeleza katika maisha. Akihutubia jamii katika eneo hilo Mupe, amewataka

VIJANA ENEO LA RABAI KAUNTI YA KILIFI WASISITIZWA KUSOMEA TAALUMA ZA UBAHARIA. Read More »

RAIS WILLIAM RUTO AAHIDI KUFANIKISHA UWEPO WA MAHAKAMA YA UMOJA WA MATAIFA YA AFRIKA.

Rais William Ruto ameahidi kufanikisha utendakazi wa mahakama ya umoja wa mataifa ya Afrika. Kulingana na Ruto, licha ya kukamilika kwa sheria hitajika za kuunzishwa kwa shughuli za mahakama hiyo mwaka 2019, bado utekelezwaji wake hauja fanikishwa. Ameongeza kuwa hatua hiyo imesababisha mataifa mengi ya Afrika kutopata haki dhidi masuala mbali mbali kwenye nchini hizo.

RAIS WILLIAM RUTO AAHIDI KUFANIKISHA UWEPO WA MAHAKAMA YA UMOJA WA MATAIFA YA AFRIKA. Read More »