HABARI

SHIMANZI FC NA ZIWANI YOUTH TUTAMBAMBANA KISHERIA – COLLINS OMOL

Meneja wa klabu ya Yanga FC Collins Omol klabu inayoshiriki ligi ya daraja la nne kitaifa  la fkf kutoka Malindi kaunti ya Kilifi amekanusha madai ya vilabu vya Shimanzi na Ziwani Youth kuwa mechi ambazo hawakucheza na Yanga watapewa alama za bwerere kwa sababu klabu hiyo ilishindwa kuheshimu ratiba. Kulinga na  Omol ambaye amezungumza na […]

SHIMANZI FC NA ZIWANI YOUTH TUTAMBAMBANA KISHERIA – COLLINS OMOL Read More »

GACHAGWA AIBUA MADAI YA KUHONGWA BILIONI MBILI ILI AJIUZULU.

Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagwa, ameibua madai ya kushurutishwa ajiuzulu na hata kuahidiwa shilingi bilioni bilioni mbili. Kulingana na Gachangwa, hatau yake kubanduliwa kwenye wadhifa wa naibu wa rais katika taifa hili, hauku zingatia sheria na ulichangiwa pakubwa na misimamo yake anayodai ilikuwa mikali dhidi ya serikali kuu. Akizungumza katika kikao na waandishi wa

GACHAGWA AIBUA MADAI YA KUHONGWA BILIONI MBILI ILI AJIUZULU. Read More »