HABARI

SPIKA WA BUNGE LA SENETI AMASON KINGI ATAKIWA KUTEKELEZA HAKI NA USAWA.

Spika wa bunge wa seneti nchini Amason Kingi, amewahakikishia viongozi wa bunge hilo haki na usawa, katika kuendeleza majukumu yake ndani ya bunge hilo. Hii ni baada ya maseneta kulalamikia suala la spika huyo, kuegemea upande mmoja wakati anapofanya maamuzi, ama hata kuendesha vikao vya bunge hilo. Akizungumza katika kikao maalumu cha viongozi wa bunge […]

SPIKA WA BUNGE LA SENETI AMASON KINGI ATAKIWA KUTEKELEZA HAKI NA USAWA. Read More »

RAIS WILLIAM RUTO AENDELEA KUMKEMEA ALIYEKUWA NAIBU WAKE RIGATHI GACHAGWA.

Rais William Ruto ameendeleza shutuma zake dhidi ya aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagwa, kwa madai ya kuendekeza siasa badala ya maendeleo kwa wananchi, wakati alipokuwa mwandani wake. Kulingana na Ruto, kiongozi huyo alikuwa ameangazia pakubwa masuala ya kupata uungwaji mkono, kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2027, jambo ambalo anadai lilikuwa kinyume cha malengo ya

RAIS WILLIAM RUTO AENDELEA KUMKEMEA ALIYEKUWA NAIBU WAKE RIGATHI GACHAGWA. Read More »