HABARI

MWANAHABARI LEONARD MAMBO MBOTE AAGA DUNIA.

Mwanahabari mkongwe Leonard Mambo Mbotela ameaga dunia. Binti yake Anne Mbotela amethibitisha kifo chake. Mwanahabari huyo mkongwe amekuwa akiugua kwa muda na ameaga mwendo wa saa 9:30 asubuhi leo Ijumaa. Mbotela ni mumewe Alice Mwikali, na kwa pamoja walipata watoto watatu Aida Mbotela, Jimmy Mbotela na George Mbotela. Mwanahabari huyo mahiri alisifika kwa kipindi chake […]

MWANAHABARI LEONARD MAMBO MBOTE AAGA DUNIA. Read More »

GEORGE WAJACKOYA APENDEKEZA WASHUKIWA WA UFISAIDI NCHINI KENYA KUNYONGWA.

Kinara wa chama cha ROOTS George Wajackoyah amehidi kuidhinisha hukumu ya kuwaua kwa kuwanyonga wanasiasa watakao patikana na hatia ya kuhusika kwenye ufujaji wa fedha za umma. Kulingana Wajackoyah, serikali yake itaunda jopo maalum litakalo husisha maafisa wa polisi, katika vitengo mbali mbali vya usalama, ambao watashirikiana katika kufanikisha sheria hiyo ya kuwanyonga wafisadi. Wajackoyah

GEORGE WAJACKOYA APENDEKEZA WASHUKIWA WA UFISAIDI NCHINI KENYA KUNYONGWA. Read More »

IDARA YA UHAMIAJI NCHINI YATOA WITO KWA WAKENYA KUCHUKUA VITAMBULISHO VYAO VYA KITAIFA KATIKA AFISI HUSIKA.

Zaidi ya wakenya laki nne hawajachukua vitambulisho vyao vya kitaifa katika afisi mbali mbali, zinazo husiska na uchapishaji wa stakabadhi hizo muhimu nchini. Haya ni kwa mujibu wa idara ya uhamiaji katika serikali ya Kitaifa, ambayo imelalamikia mrundiko wa vitambulisho katika afisi zake licha yake kujitahidi katika kuwahudumia wakenya ili wapate vitambulisho vyao kwa wakati

IDARA YA UHAMIAJI NCHINI YATOA WITO KWA WAKENYA KUCHUKUA VITAMBULISHO VYAO VYA KITAIFA KATIKA AFISI HUSIKA. Read More »