BUMBANI YAKANUSHA KUMKOSA FEYSWAL DZUYA
Mtendaji Mkuu wa Bumbani Stars Rajab Zamani, Amekanusha madai kwamba waliikosa sajili ya Mchezaji Bora wa Dola Cup Feiswal Dzuya mwaka jana kwa Klabu ya NSL AS Assad, akidai kwamba aliyapa nafasi mazungumzo kati ya Pande Hizo Mbili. Zamani ameongezea kwa Kusema ya kwamba wapo kwenye Harakati za kumnasa nyota Huyo, hii ni Baada ya […]
BUMBANI YAKANUSHA KUMKOSA FEYSWAL DZUYA Read More »



