MARUFUKU YA POGBA YAISHA
Kiungo wa timu yua taifa ya Ufaransa Paul Labile Pogba ni rasmi sasa marufuku yake ya soka imetamatika leo na anaweza kucheza soka la kulipwa ulaya kama alivyokuwa awali kabla ya kupatikana na makosa ya kutumia dawa za kututumua misuli. Pogba ambaye amekuwa akipiga tizi katika viunga vya Miami nchini Marekani sasa ni mchezaji huru […]
MARUFUKU YA POGBA YAISHA Read More »



