HABARI

MWANASIASA ALI MBOGO AIKASHIFU SERIKALI YA KAUNTI YA MOMBASA.

Mwenyekiti wa bandari ya LAPSSET, Ali Mbogo amelalamikia uharibifu wa fedha za umma ambazo hutokana na ushuru, unaokusanywa na serikali ya kaunti ya Mombasa. Mbogo amedai kuwa kaunti ya Mombasa, hukusanya ushuru mkubwa zaidi na pia, hupokea mgao mkubwa sana kutoka kwa hazina ya kitaifa, ila hakuna maendeleo ambayo yameshuhudiwa. Akizungumza na waandishi wa habari, […]

MWANASIASA ALI MBOGO AIKASHIFU SERIKALI YA KAUNTI YA MOMBASA. Read More »

WABUNGE WATAKIWA KUSAIDIA WANANCHI WAO KUPATA VYETI VYA USAFIRI WA MATAIFA YA NJE.

Viongozi wa bunge la kitaifa nchini wametakiwa kuwasaidia vijana kutafuta stakabadhi hitajika, ili kunufaika na ajira za mataifa mengine, kupitia wizara ya leba nchini. Ni wito ambao umetolewa na katibu katika wizara hiyo Shedrack Mwadime, ambaye amewapongeza wabunge, kwa kufadhili ujenzi wa miundo msingi na hata karo za wanafunzi wa vyuo vikuu na shule za

WABUNGE WATAKIWA KUSAIDIA WANANCHI WAO KUPATA VYETI VYA USAFIRI WA MATAIFA YA NJE. Read More »

TUME YA ARDHI NCHINI YAANZA VIKAO VYA KUSIKILIZA KESI ZA ARDHI PWANI.

Tume ya kitaifa ya ardhi NLC, imeanzisha vikao vya kusikiliza maoni ya wananchi wanao kabiliwa na mizozo ya ardhi katika kaunti ya Kwale. Hatua hiyo inalenga kutoa suluhu la dhulma za kihistoria za ardhi, ambazo zimetajwa kuwa chanzo cha mizozo mingi ya ardhi kwa wananchi wa Kwale. Mwenyekiti wa tume hio Profesa James Tuitoek, amesema

TUME YA ARDHI NCHINI YAANZA VIKAO VYA KUSIKILIZA KESI ZA ARDHI PWANI. Read More »