WANANCHI WA KAUNTI YA KISII WAMEZOMEA RAILA ODINGA.
Aliyekuwa waziri mkuu katika taifa hili Raila Odinga, alipata pigo kali baada ya wale walioaminika kuwa wafuasi sugu wa kiongozi huyo, kumzomea alipofika kutizama mpira wa kandanda katika uwanja wa Gusii kaunti ya Kisii. Wananchi wengi walionekana kutoka inje ya uwanja huo, wakati kiongozi huyo alipotaka kuhutubia umma, jambo ambalo pia lilionekana kumtamausha gavana wa […]
WANANCHI WA KAUNTI YA KISII WAMEZOMEA RAILA ODINGA. Read More »



