WIZARA YA ELIMU YAWEKA JITIHADA ZA KUBORESHA MIUNDO MSINGI YA ELIMU NCHINI.
Wizara ya Elimu itajenga maabara 1,600 kote nchini, ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wa gredi ya 10, wanasomea taaluma wanazo hitaji kwa mujibu wa muongozo wa mtaala wa CBC mwaka 2026. Kulingana na katibu kwenye wizara ya elimu nchini Bellio Kipsang, hatua hiyo itasaidia katika kuhakikisha kuwa, kila mwanafunzi anapata fursa ya kusomea taaluma za masuala […]
WIZARA YA ELIMU YAWEKA JITIHADA ZA KUBORESHA MIUNDO MSINGI YA ELIMU NCHINI. Read More »



