HABARI

SERIKALI ZA KAUNTI ZAATHIRIKA NA KUCHELEWESHWA MGAO FEDHA KUTOKA HAZINA YA KITAIFA.

Maandamano ya kizazi cha Gen Z, yaliyoshuhudiwa humu nchini mwaka jana 2024, yalichangia pakubwa kwa baadhi ya serikali za kaunti, kushindwa kufanya maendeleo, kama ilivyosema ripoti ya mkaguzi wa bajeti Magaret Nyakang’o . Kulingama na Naibu gavana wa kaunti ya Lamu, Mbarak Bahjaj serikali ya kitaifa ilichelewa kusambaza fedha kwa serikali za kaunti, ikiwemo ile […]

SERIKALI ZA KAUNTI ZAATHIRIKA NA KUCHELEWESHWA MGAO FEDHA KUTOKA HAZINA YA KITAIFA. Read More »

DOUGLAS KANJA AKASHUFU UFUNGUZI WA KITUO CHA POLISI KAUNTI YA UASIN GISHU.

Inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja, amekashifu vikali hatua ya mkenya anayefahamika kama Collins Chepkulei, kufungua kituo cha polisi katika eneo la Cherus kaunti ya Uasin Gishu. Kulingana na Kanja, hatua hiyo ni makosa makubwa kwani raia huyo, alikosa kufuata sheria na utaratibu hitajika, ili kutekeleza suala hilo licha yake kuwa na manufaa kwa wananchi.

DOUGLAS KANJA AKASHUFU UFUNGUZI WA KITUO CHA POLISI KAUNTI YA UASIN GISHU. Read More »