SOKA LA RABAI KUIMARISHWA NA MIKATABA YA WACHEZAJI – JOHN BARISA
Shirikisho la soka tawi la eneo bunge la Rabai kaunti ya Kilifi linalenga kuanzisha utaratibu wa mikataba rasmi kwa wachezaji pamoja na vilabu ili kukabili tatizo la wachezaji kutofuata sheria wakati wa uhamisho. Akizunguimza na Tama la Spoti John Barisa ambaye ni katibu mkuu wa shirikisho hilo amesema kwamba mwakani wanamalengo ya kuanza kuwasilisha mikataba […]
SOKA LA RABAI KUIMARISHWA NA MIKATABA YA WACHEZAJI – JOHN BARISA Read More »



