HABARI

WITO WATOLEWA KWA WANANCHI KUWARIPOTI WAHALIFU KWA ASASI HUSIKA

Mwanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu katika shirika la kutete haki za kibinadamu la HURIA kaunti ya Mombasa Alex Nziwi ametoa wito kwa umma kuwaripoti washukiwa wa wizi na sio kuchukua sheria mkononi. Nziwa ambaye alikuwa akizungumza na mwanahabari wetu kwa njia ya simu amekosoa hatua ya wananchi kuwapiga washukiwa wa uhalifu au hata kuwaua

WITO WATOLEWA KWA WANANCHI KUWARIPOTI WAHALIFU KWA ASASI HUSIKA Read More »

GAVANA ABDULSWAMAD APANIA KUFANYA UKAGUZI KUBAINI WAFANYIKAZI HEWA

Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir anapanga kufanya ukaguzi kubaini wafanyikazi hewa waliokuwepo tangu serikali ya kaunti iliyopita chini ya uongozi wa gavana mstaafu Ali Hassan Joho. Akizungumza afisini mwake Abdulswamad amesema tayari ameiandikia barua tume ya huduma za umma kuishurutisha kufanya ukaguzi kuhusiana na Suala la wafanyikazi hewa. Kauli yake inajiri baada

GAVANA ABDULSWAMAD APANIA KUFANYA UKAGUZI KUBAINI WAFANYIKAZI HEWA Read More »