BAA LA NJAA LINAZIDI KUATHIRI SHUGHULI ZA MASOMO TAITA TAVETA
Wanaharakati wa kijamii kaunti ya Taita Taveta wameyashinikiza mashirika yasiokuwa ya kiserikali kushirikiana na serikali kutoa msaada wa chakula cha msaada kwa familia zinazokumbwa na makali ya njaa. Wanaharakati hao wanahofia kuwa baa la njaa litasababisha ongezeko la mimba za utotoni sawia na migogoro ya kifamilia katika kaunti hiyo ya Taita Taveta. Aidha wamesema kuna […]
BAA LA NJAA LINAZIDI KUATHIRI SHUGHULI ZA MASOMO TAITA TAVETA Read More »



