MWAKILISHI WA WADI YA MALINDI MJINI RASHID ODHIAMBO ANYOOSHEWA KIDOLE CHA LAWAMA
Baadhi ya wakaazi wa wadi ya Malindi mjini kaunti ya Kilifi wameandamana kulalamikia kutokuwepo kwa haki na usawa katika zoezi la uchaguzi wa wanakamati ya fedha za basari za serikali ya kaunti kwa wanafunzi wa wadi hiyo. Kulingana na wakaazi hao kikao cha kufanya uchaguzi wa wanakamati hao, kilifanyika kinyume cha sheria na hata kinyume […]
MWAKILISHI WA WADI YA MALINDI MJINI RASHID ODHIAMBO ANYOOSHEWA KIDOLE CHA LAWAMA Read More »



