HABARI

WIZARA YA USALAMA WA NDANI YATAKIWA KUINGILIA KUWAKABILI VIJANA WANAOJIHUSISHA NA UHALIFU KAUNTI YA KWALE

Baraza la madhehebu mbalimbali katika kaunti ya Kwale limetoa wito kwa wizara ya usalama wa ndani kulishughulikia suala la visa vya uhalifu ambavyo vinaendelea kutekelezwa na vijana wenye umri mdogo eneo hilo. Likiongozwa na Hamisi Mwachirumu wanasema hali hiyo imechangia kwa wenyeji kuishi kwa hofu. Vilevile, amesema visa hivyo vya uhalifu vimeathiri shuguli za kibiashara

WIZARA YA USALAMA WA NDANI YATAKIWA KUINGILIA KUWAKABILI VIJANA WANAOJIHUSISHA NA UHALIFU KAUNTI YA KWALE Read More »

MBUNGE WA LAMU MAGHARIBI AITAKA SERIKALI KUU KUBORESHA NA KUZIKARABATI BARABARA

Mbunge wa Lamu Magharibi kaunti ya Lamu Stanley Muthama ameitaka serikali kuu kuimarisha na kuzikarabati barabara ambazo zinaelekea kwenye sehemu ambazo zinakabiliwa na changamoto za kiusalama katika maeneo ya Witu na Mpeketoni kwenye kaunti hiyo. Muthama amesema barabara ambayo inaunganisha maeneo ya Kakati – Maleli – Katsakairu – Pandanguo ni miongoni mwa zile ambazo ziko

MBUNGE WA LAMU MAGHARIBI AITAKA SERIKALI KUU KUBORESHA NA KUZIKARABATI BARABARA Read More »