HABARI

TUKO TAYARI KWA DABI YA MALINDI – BERNARD LUSI

Klabu ya Progressive Academy inazidisha mazoezi yake kujiimarisha kwa mechi ya wikendi ambapo watakuwa wanavaana na mahasimu wao Young Bulls katika dadi ya kaunti ya Kilifi ambayo imeratibiwa kurindimwa siku ya jumapili katika dimba la shule ya upili ya wavulana ya Malindi. Akizungumza na Tama la spoti mapema leo baada ya mazoezi uwanjani Alaskan Bernard […]

TUKO TAYARI KWA DABI YA MALINDI – BERNARD LUSI Read More »