HABARI

SERIKALI YA KAUNTI YA LAMU YATAKIWA KUWEKA MIKAKATI YA KUWEZESHA WENYEJI WA WADI KUPATA MAJI SAFI YA KUNYWA

Himizo limetolewa kwa serikali ya kaunti ya Lamu kuweka mikakati ambayo itawawezesha wenyeji wa Wadi ya Kiunga kupata maji safi ya kunywa. Kulingana na Naibu kamishna wa eneo hilo la Kiunga Kennedy Mrima wenyeji wa eneo hilo wanakabiliwa na uhaba wa maji. Amesema ukosefu wa Mvua katika eneo hilo kumechangia kwa wenyeji kukabiliwa na hali […]

SERIKALI YA KAUNTI YA LAMU YATAKIWA KUWEKA MIKAKATI YA KUWEZESHA WENYEJI WA WADI KUPATA MAJI SAFI YA KUNYWA Read More »

SHILINGI MILIONI 5 ZATENGWA KATIKA BAJETI YA ZIADA KWENYE BUNGE LA KAUNTI YA KILIFI

Jumla ya shilingi milioni 5 zimetengwa katika bajeti ya ziada kwenye bunge la kaunti ya Kilifi, ili kufadhili masomo ya wanafunzi katika wadi mbalimbali za kaunti ya Kilifi. Haya ni kulingana na mwakilishi wa wadi ya Ganda eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi, Oscar Wanje ambaye amesema ugavi wa fedha hizo kwa wanafunzi wenye

SHILINGI MILIONI 5 ZATENGWA KATIKA BAJETI YA ZIADA KWENYE BUNGE LA KAUNTI YA KILIFI Read More »

KARIM MANDONGA KUSHIRIKI KATIKA PAMBANO LA KWANZA MAARUFU KENYA

Bondia maarufu kutoka taifa jirani la Tanzania mwite Karim Mandonga ameeleza matumaini yake kwamba atapokelewa kwa heshima kuu na rais wa taifa la Kenya William Samoei Ruto atakaposhuka katika uwanja wa ndege. Mandonga anatarajiwa kushuka ulingoni dhidi ya bondia Daniel Wanyonyi katika ukumbi wa KICC Tsavo Ballroom mjini Nairobi wikendi ijayo siku ya Jumamosi tarehe

KARIM MANDONGA KUSHIRIKI KATIKA PAMBANO LA KWANZA MAARUFU KENYA Read More »