HABARI

MAAFISA WA CDF WANAOJIHUSISHA NA UFISADI WALAUMIWA KWA KUCHANGIA KWA WANAFUNZI KUKOSA MSAADA WA MASOMO

Mbunge wa Voi kaunti ya Taita Taveta Hamisi Chome amewataka maafisa wa hazina ya ustawishaji wa maeneo bunge nchini CDF kukoma kujihusisha na visa vya ufisadi kwani unachangia kwa wanafunzi kukosa msaada wa masomo. Hamisi Chome amesema atahakikisha hazina hiyo inafanya kazi kama inavyopaswa ili wanafunzi waweze kuendeleza masomo yao bila changamoto zozote. Akizungumza kwenye

MAAFISA WA CDF WANAOJIHUSISHA NA UFISADI WALAUMIWA KWA KUCHANGIA KWA WANAFUNZI KUKOSA MSAADA WA MASOMO Read More »