HABARI

KAUNTI YA LAMU INAKABILIWA NA CHANGAMOTO ZA KIFEDHA ZA KUFADHILI WANAFUNZI

Naibu gavana wa kaunti ya Lamu Raphael Munyua amesema serikali ya kaunti hiyo inakabiliwa na changamoto za kifedha za kufadhili wanafunzi katika kaunti hiyo. Munyua amesema changamoto hiyo imechangiwa na mabadiliko ya kalenda ya elimu nchini tangu mwaka wa 2020 wakati wa janga la Virusi vya Corona nchini. Aidha, amesema serikali ya kaunti ya Lamu […]

KAUNTI YA LAMU INAKABILIWA NA CHANGAMOTO ZA KIFEDHA ZA KUFADHILI WANAFUNZI Read More »

UKOSEFU WA AMBULENSI WAZIDI KUWAATHIRI WENYEJI WA WADI YA ADU

Idadi kubwa ya wakaazi wa wadi ya ADU eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi, wanaendelea kupitia changamoto kuu katika kutafuta matibabu ya dharura katika taasisi za afya zilizoko mbali na eneo hilo, kutokana na ukosefu Ambulensi. Haya ni kwa mujibu wa mwakailishi wadi hiyo Samson Zia, ambaye amesema baadhi ya wale wanaoumwa na nyoka

UKOSEFU WA AMBULENSI WAZIDI KUWAATHIRI WENYEJI WA WADI YA ADU Read More »

MATANO ASEMA BADO WAKO IMARA LICHA YA KUTOLEWA ULEVI NA BANDARI MOMBASA

Mkufunzi Mkuu wa Kikosi cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu nchini Kenya wanamvinyo  Tusker FC Robert Matano amesema anaamini bado watafanya vizuri licha ya kupoteza mchezo wao wa kwanza wa msimu. Mwalimu Matano amezungumza hayo baada ya vijana wake  kukutana na kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa vijana wa pwani Bandari FC ambapo amesema wataendelea

MATANO ASEMA BADO WAKO IMARA LICHA YA KUTOLEWA ULEVI NA BANDARI MOMBASA Read More »