VIONGOZI WASHAURIWA KUPIGA JEKI VILABU VYA MASHINANI
Ipo haja ya viongozi waliochaguliwa kuwakilisha sehemu mbalimbali katika mkoa huu wa pwani kuingilia kati michezo mashinani ili kuokoa vipaji ambavyo huenda vikawa manufaa kwa jamii katika siku za usoni. Hii ni kulingana na Peter Mole mkufunzi mkuu wa Beach Bay ambayo inashiriki katika ligi ya daraja la pili kitaifa na amekariri kwamba ukata wa […]
VIONGOZI WASHAURIWA KUPIGA JEKI VILABU VYA MASHINANI Read More »



