HABARI

JUMLA YA WANAFUNZI 109 KATIKA SHULE ZA UPILI KAUNTI YA KILIFI WANUFAIKA NA MASOMO YA DINI

Jumla ya wanafunzi 109 katika shule za upili kaunti ya Kilifi wamenufaika na masomo ya dini, katika kongamano la wanafunzi wa dini ya kikristo la Rafiki Wa Yesu Youth Camp, lililofanyika jana katika shule ya upili ya wavulana ya Gede, na kufadhiliwa na kituo cha habari cha Lulu fm. Kulingana na mwenyekiti wa kamati ya […]

JUMLA YA WANAFUNZI 109 KATIKA SHULE ZA UPILI KAUNTI YA KILIFI WANUFAIKA NA MASOMO YA DINI Read More »

NIMEKUJA NA ‘SUGUNYO’ , WANYONYI ATAKUTANA NAYO JUMAMOSI – MANDONGA

Bondia maarufu kutoka nchini Tanzania Karim Mandonga amehakikishia mashabiki wake kwamba atapata ushindi katika pambano litakalofanyika wikendi ijayo katika ukumbi wa KICC mjini Nairobi. Akizungumza na wanahabari mjini Nairobi Mandonga amesema kwamba anafuraha sana kufika nchini Kenya na kupokelewa na mashabiki wake ambao amewaahidi kuwa atamtandika bondia wa kenya Daniel Wanyonyi kwenye mpambano utakaofanyika siku

NIMEKUJA NA ‘SUGUNYO’ , WANYONYI ATAKUTANA NAYO JUMAMOSI – MANDONGA Read More »