HABARI

HUDUMA ZA AFYA KAUNTI YA MOMABASA HUENDA ZIKAIMARIKA

Huduma za  afya kwenye kaunti ya Mombasa zinatarajiwa kuimarika hata Zaidi hususan maeneo ya mashinani. Hii ni baada ya jopo kazi linalohusika na masuala ya afya kaunti ya Mombasa kutoa ripoti ya mapendekezo jinsi itakavyoboresha sekta hiyo. Akizungumza alipokuwa anatoa ripoti hiyo, mwenyekiti wa jopo hilo Chibanzi Mwachonda amesema wametenga baadhi ya Hospitali zitakazotoa huduma […]

HUDUMA ZA AFYA KAUNTI YA MOMABASA HUENDA ZIKAIMARIKA Read More »

MWALIMU MKUU WA SHULE YA UPILI YA MUYEYE MJINI MALINDI ALALAMIKIA ONGEZEKO LA IDADI YA WANAFUNZI WANAOTUMIA MIHADARATI

Mwalimu mkuu wa shule ya upili ya Muyeye mjini Malindi kaunti ya Kilifi, Francis Kazungu amelalamikia ongezeko la idadi ya wanafunzi wanaotumia dawa za kulevya shuleni humo. Kulingana na mwalimu huyo, wanafunzi wengi wamekuwa wakiingiza dawa hizo za kulevya shuleni humo kutokana na kile ambacho anasema kuchangiwa na ukosefu wa uzio mzuri. Akizungumza katika kikao

MWALIMU MKUU WA SHULE YA UPILI YA MUYEYE MJINI MALINDI ALALAMIKIA ONGEZEKO LA IDADI YA WANAFUNZI WANAOTUMIA MIHADARATI Read More »

GAVANA WA KAUNTI YA KWALE AWAONYA MAKATIBU KATIKA KAUNTI HIYO

Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani amewaonya makatibu katika kaunti hiyo kutokana na kile anachosema baadhi yao wamechukua zabuni ambazo zinastahili kupewa wakaazi ili waweze kujiinua kimaendeleo. Achani aliyekuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Kwale amewataka mawaziri wa kaunti hiyo kuhakikisha hakuna ubaguzi wowote unaofanyika katika utoaji wa zabuni akisema ni jukumu la

GAVANA WA KAUNTI YA KWALE AWAONYA MAKATIBU KATIKA KAUNTI HIYO Read More »