HABARI

ABABU NAMWAMBA AMUAGIZA MKAGUZI MKUU KUFANYA UCHUNGUZI WA MIRADI

Mkaguzi mkuu wa wizara ya michezo katika serikali kuu Nancy Gathungu amemhakikishia waziri Ababu Namwamba kwamba atatimiza agizo lake ya kufanya uchunguzi kuhusu miradi mbali mbali iliyofeli licha ya hela ndefu kuwekezwa na serikali katika miaka mitano iliyopita. Haya yanajiri baada ya waziri namwamba kutembelea miradi mbali mbali ambayo kulingana na taarifa walizonazo kuliwekzwa hela […]

ABABU NAMWAMBA AMUAGIZA MKAGUZI MKUU KUFANYA UCHUNGUZI WA MIRADI Read More »

Odegaard na Mikel Arteta washinda tuzo za mwezi Disemba Uingereza

Martin Odegaard kiungo anayechezea klabu ya Arsenal amewapiku nyota wanane wa ligi kuu nchini uingereza na kushinda tuzo ya mchezaji bora mwezi November na December mwaka jana. Odegaard alishinda kura nyingi za mashabiki na kushinda tuzo hiyo baada ya kufunga mabao 3 na kusaidia ufungaji wa mabao 3 yaliosaidia Arsenal kufanya vyema katika ligi kuu

Odegaard na Mikel Arteta washinda tuzo za mwezi Disemba Uingereza Read More »

NERO ANAAMINI MSIMU UJAO YUPO DARAJA LA KWANZA KITAIFA

Mkufunzi wa Furunzi FC Nero Chishenga ameeleza imani kwamba atasajili ushindi wa pili katika ligi ya daraja la pili kitaifa vijana wake watakapokuwa wanashuka dimbani kesho dhidi ya klabu ya kishada katika uwanja wa Alaskan, uwanja uliopo mjini malindi kaunti ya Kilifi. Akizungumza na tama la spoti jioni ya leo katika uwanja wa mazoezi ulioko

NERO ANAAMINI MSIMU UJAO YUPO DARAJA LA KWANZA KITAIFA Read More »