NJAA YAIPONZA BEACH BAY MOMBASA
Mkufunzi mkuu wa klabu ya Beach Bay Peter Mole iliyopoteza mechi yao jana dhidi ya kishada FC, kichapo cha mabao 6-1 mjini Mombasa amelalamikia ukata wa kifedha katika klabu yake kama changamoto kuu iliyochangia matokeo hayo mabovu. Kulingana na Mole ni kuwa wachezaji wake walisafiri na kucheza wakiwa na njaa pamoja na changamoto ya usafiri […]
NJAA YAIPONZA BEACH BAY MOMBASA Read More »



