ASKOFU KAKALA AMTAKA GAVANA WA KILIFI GIDEON MUNG’ARO KUWA KARIBU NA VIONGOZI WA DINI
Askofu wa kanisa la Jcc mjini Malindi kaunti ya Kilifi Thomas Kakala amemtaka gavana wa kaunti ya KIlifi, Gideon Maitha Mung’aro kuwa karibu na viongozi wa kidini ili kunyoosha uongozi wake. Kwa mujibu wa Kakala jukumu kubwa la viongozi hao wa kidini katika maisha ya viongozi wa kisiasa, ni kuhakikisha kuwa wanawaombea kwa Mungu kutokana […]
ASKOFU KAKALA AMTAKA GAVANA WA KILIFI GIDEON MUNG’ARO KUWA KARIBU NA VIONGOZI WA DINI Read More »



