HABARI

WALIOSHINDWA KWENYE KIPUTE CHA KUWANIA UWAKILISHI WA WADI YS SHELLA WAHIMIZWA KUSHIRIKIANA NA ATWAA SALIM

Maafisa wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC kaunti ya Lamu wamewataka walioshindwa kwenye kipute cha uchaguzi mdogo wa wadi ya Shella kaunti ya Lamu kushirikiana vyema kwa manufaa ya wenyeji. Kulingana na afisa wa tume ya IEBC eneo bunge la Lamu Magharibi Isaiah Saha amewataka wale ambao walishindwa kwenye kipute hicho kuungana […]

WALIOSHINDWA KWENYE KIPUTE CHA KUWANIA UWAKILISHI WA WADI YS SHELLA WAHIMIZWA KUSHIRIKIANA NA ATWAA SALIM Read More »

MBUNGE WA GALOLE KAUNTI YA TANA RIVER AITAKA SERIKALI KUCHIMBA MABWAWA NCHINI

Kuna haja ya serikali kukabiliana na tatizo la uhaba wa maji kwa kuchimba mabwawa nchini. Haya ni kulingana na Mbunge wa Galole kaunti ya Tana River Said Hiribae, ambaye amesema iwapo hilo litatekelezwa wenyeji wa Bura, Galole na Garsen watanufaika pakubwa kwani mabwawa hayo yatawasaidia wenyeji katika kutekeleza kilimo nyunyizi. Hiribae pia amesema kando na

MBUNGE WA GALOLE KAUNTI YA TANA RIVER AITAKA SERIKALI KUCHIMBA MABWAWA NCHINI Read More »

ANDREW MWADIME ATOA WITO KWA WASOMI WA TAITA TAVETA KUSHIRIKIANA KUTOA UFADHILI WA KIMASOMO KWA WANAFUNZI

Gavana wa kaunti ya Taita Taveta Andrew Mwadime ametoa wito kwa wasomi wa kaunti hiyo kushirikiana katika kutoa ufadhili wa kimasomo kwa wanafunzi ambao wanatoka familia ambazo hazina uwezo wa kifedha ili kuwalipia karo. Akizungumza akiwa eneo bunge la Mwatate kaunti ya Taita Taveta Mwadime amesema ikiwa hilo litatekelezwa viwango vya elimu kwenye kaunti hiyo

ANDREW MWADIME ATOA WITO KWA WASOMI WA TAITA TAVETA KUSHIRIKIANA KUTOA UFADHILI WA KIMASOMO KWA WANAFUNZI Read More »