UCHUMI WA MALINDI KAUNTI YA KILIFI KUIMARISHWA
Viongozi wa eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi wameahidi kuboresha uchumi wa raslimali za baharini, katika eneo bunge la Malindi hasa kwenye wadi ya Shella mjini Malindi kaunti ya Kilifi. Kwa mujibu wa mbunge wa eneo la Malindi kaunti ya Kilifi, Amina Mnyazi wadi ya Shella ndiyo ambayo inaathirika moja kwa moja na masuala […]
UCHUMI WA MALINDI KAUNTI YA KILIFI KUIMARISHWA Read More »



