HABARI

AFC LEOPARDS YAIRARUA TALANTA FC WAKATI POSTA RANGERS IKIKABWA SARE

Mabingwa mara 12 wa ligi kuu nchini Kenya  AFC Leopards wamesajili ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya klabu ya Talanta FC katika mechi iliyochezwa dimbani Nyayo mtanangwe uliochezwa mchana wa leo. ‘Hatrik’ ya fowadi Victor Omune raia wa DRC Congo  pamoja na mabao mawili ya  Cliff Nyakeya ndiyo yaliyotosha kuwapa ushindi vijana hao wa mkufunzi

AFC LEOPARDS YAIRARUA TALANTA FC WAKATI POSTA RANGERS IKIKABWA SARE Read More »

VIJANA KATIKA KAUNTI YA KILIFI KUHUSISHWA KWENYE MASUALA YA MIRADI NA UONGOZI WA KAUNTI YA KILIFI

Waziri wa masuala vijana, jinsia na michezo kaunti ya Kilifi Dama Masha, ameadhi kushirikiana na mashirika ya kijamii pamoja na vijana wa kaunti ya Kilifi, ili kuunda sheria ambazo zitasaidia kuhakikisha vijana wanahusishwa katika masuala ya miradi na uongozi wa kaunti ya Kilifi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa kuhamasisha vijana kuhusiana na masuala

VIJANA KATIKA KAUNTI YA KILIFI KUHUSISHWA KWENYE MASUALA YA MIRADI NA UONGOZI WA KAUNTI YA KILIFI Read More »