MANCHESTER UNITED YASIMAMISHWA NA LEEDS
Klabu ya Manchester United katika ligi kuu nchini Uingereza imekabwa sare ya mabao 2-2 walipokuwa wanashuka dimbani dhidi ya Leeds United katika uwanja wa Old Trafford. Wilfried Gnonto raia wa italia mwenye umri wa miaka 19 aliipa uongozi Leeds katika dakika ya kwanza ya mchezo kabla ya Rafael Varane kuiponza the Red Devils kwa kujifunga […]
MANCHESTER UNITED YASIMAMISHWA NA LEEDS Read More »



